Kwa mara nyingine tena msanii Dogo Richie amedondosha kibao kipya.
Katika wimbo huu Richie anamlenga mtu aliyeolewa na anamwahidi kuwa hawatotengana milele. Kama yalivyo maudhui ya mashairi katika wimbo, wimbo huo umepewa jina milele.
Unaweza kukitizama kibao hicho hapa.