Msanii Daddy Owen amepuzilia mbali usemi kuwa Wasanii wa Kenya hawana ujumbe katika nyimbo zao.
Msanii huyu ambaye amekuwa katika tasnia ya burudani ya mziki wa gospel kwa muda wa miaka 13 amesema kuwa Wasani wa Kenya wanajituma vilivyo ila mashabiki ndio wanawaangusha.
Kulingana na Daddy Owen amesema: iwapo tunataka kubadili hadhi ya mziki humu nchini mashabiki ni waanze kupenda mziki wa Kenya.
Taarifa na Dominick Mwambui.