Cheslie Kryst afariki dunia kwa kujirusha ghorofani.

Picha Kwa Hisani – Cheslie Kryst Aliyekuwa mlimbwende wa Marekani mwaka 2019, Cheslie Kryst, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 30. Kwa mujibu wa Polisi, Cheslie alijirusha ghorofani siku jana Januari 30, 2022 majira ya asubuhi huko Manhattan, New York. Picha Kwa Hisani – Cheslie Kryst Kabla ya kujirusha aliweka bandiko la picha yake Instagram yenye ujumbe; “Siku hii ikuletee Pumziko la Amani” ambapo familia yake imethibitisha kutokea kwa kifo hicho. Cheslie alikuwa na Shahada mbili ikiwemo ya Sheria na Shahada … Continue reading Cheslie Kryst afariki dunia kwa kujirusha ghorofani.