
SIKIZA MAHOJIANO YA KIPEKEE NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI KENYA NA RADIO KAYA
Balozi wa Marekani nchini Kenya Kyle McCarter amezitaka taasisi za utafiti wa matibabu nchini kujizatiti kutoa mchango wao katika mchakato wa kutafuta dawa ya corona unaoendelea.
Katika mahojiano ya kipekee na radio kaya McCarter amesema kenya inawatafiti wanaoaminika na wanapaswa kutumia vyema misaada walioptata katika kusaidia kuvumbua tiba ya maradhi hayo.