Picha kwa hisani –
Bunge la Kitaifa linatarajiwa kurejelea vikao vyake adhuhuri ya leo.
Masuala mbali mbali yanatarajiwa kujadiliwa katika bunge hilo wakati huu ambapo mihemko ya kisiasa inaendelea kushuhudiwa kati ya mirengo tofauti ya kisiasa.
Hata hivyo wakenya wa maeneo mbali mbali ya taifa wameeleza matarajio yao kuhusu masuala wanayotaka yapewe kipaumbele bungeni.