Picha kwa hisani –
Msanii wa nyimbo za injili Bahati amejipata pabaya pamoja na mke wake Diana na wanamitandao baada yake kupachika picha akiwa amevalia mavazi ya like na kujipodoa.
Hii Ni Mara ya pili kwa msanii huyo kufanya hivo na hivi sasa wanamitandao wamemtupia maneno makali kupitia ukurasa wake wa Instagram.