Radio Kaya yaimarisha kitengo cha Michezo
Katika juhudi zake za kujiweka vyema kwa ajili ya mawimbi makali ya ushindani wa utangazaji ukanda wa Pwani Radio Kaya imeimarisha kikosi chake cha utangazaji.
Katika juhudi zake za kujiweka vyema kwa ajili ya mawimbi makali ya ushindani wa utangazaji ukanda wa Pwani Radio Kaya imeimarisha kikosi chake cha utangazaji.
Hatimaye msanii Dazla Kiduche amevunja kimya chake kwa kibao kipya kwa jina Zigi Zaga.
Baraza la kimataifa linaloshughulika na maswala ya walemavu nchini tawi la Mombasa limesema limesajili zaidi ya watu 4,000 wanaoishi na ulemavu katika kaunti hiyo mwanzoni mwa mwaka huu.
Aliyekuwa Mbunge wa Kaloleni Gunga Mwinga amewataka wanaogawa chakula cha msaada kuhakikisha kuwa kinawafikia waathiriwa wa baa la njaa.
Maafisa wakuu wa polisi katika Kaunti ya Lamu, wale wa Utawala, Wawekezaji na Viongozi wa kisiasa watachunguzwa kikamilifu na kuchukuliwa hatua za kisheria kwa kuhusishwa pakubwa na dhuluma dhidi ya binadamu katika Kaunti ya Lamu.
Kamati ya bunge la kitaifa inayaohusika na maswla ya mchezo,utamaduni na utalii wameita wizara ya ardhi nchini kuhakikisha kwamba ardhi zilizonyakuliwa kwenye bustani ya Mama Ngina mjini mombasa zimerudishwa .
Wakaazi wa eneo la Hindi Kaunti ya Lamu wamesisitiza kwamba uvamizi unaotekelezwa katika eneo hilo na visa vingi vya ukosefu wa usalama vimechangiwa na mabwenyenye wanaonyakua ardhi zao kila uchao.
Picha kwa hisani
Wakaazi wa Pwani wametahadharishwa dhidi ya kwenda kwenye fuo za bahari baada ya mtetemeko wa ardhi kushuhudiwa katika maeneo tofauti nchini.
Msanii Best Boomer aka mtoto wa kike ameachilia kibao kipya kwa jina “Wana nini”.