Msanii Arrow Boy amefichua kuwa hakumsaidia Demarco kuandika mistari ya kiswahili kwenye wimbo wao mpya.
Kwenye kibao “Love Doctor” Msanii huyo anaimba Kiswahili jambo ambalo limewashangaza wengi.
Kulingana na Arrow Boy watu hawafai kushangaa kwa mjamaica huyo amekuwa humu nchini mara nyingi.
Taarifa na Dominick Mwambui