Msanii Dogo Richie amefunguka kuhusu picha chafu zilizovujishwa mtandaoni za Wema Sepetu.
Richie amesema kuwa kitendo hicho kinaonekana kuwa kama ambaye kilipangwa.
“Niliweza kuitizama ile picha na kwa mtizamo wangu naona kuwa ni kitu ambacho kilikuwa kimepangwa. Alichukua picha na kisha akaiweka mtandaoni…umaarufu gharama.”
Wema Sepetu ambaye ni muigizaji nchini Tanzania anakashifiwa mtanadoni kwa sasa baada ya video yake chafu kuvujishwa.
Taarifa na Dominick Mwambui.