Picha kwa hisani –
Ali Kiba maarufu kama King Kiba aliachia ngoma yake mpya kwa jina infidele, ngoma ambayo imepewa shavu kubwa Sana na wakongwe wa sanaa Kama otile Brown, Barnaba Classic, sudy Brown, Millard ayo na wengine wengi.
Jambo ambalo limeonekana kuzima scandal ya familia ya Diamond huku wengi wakimshabikia Ali kiba kwa upole, ukarimu na kutoa nyimbo zenye mafunzo.
Lakini Mara tu baada ya kutoa wimbo huo, Diamond alitangaza kuwa na mkutano wa dharura na wanahabari, kwanzia saa tatu asubuhi ya leo, ambapo bado mkutano unaendelea na hadi kufikia sasa amedinda kuzungumzia swala la familia yake.