Msanii Ali B atazindua video ya wimbo wake Deka Deka wikendi hii.
Ali B atashirikiana na Radio Kaya katika uzinduzi huo utakaofanyika katika mkahawa wa Third World huko Likoni kaunti ya Mombasa.
“Hii ni fursa ya kipekee kwa mashabiki wangu, ni fursa ya kipekee nimewapa ili waweze kusheherekea na mimi, kando na kuzindua video yapo mambo mengi nimewapangia wakati wa uzinduzi,” amesema Ali B.