Msanii Esther Akoth maarufu kama Akothee ameweka bayana kuwa atawacha mziki kwa muda.
Kulingana na msanii huyo moyo wake umekuwa ukipiga kwa kasi zaidi ya kawaida na kwa sasa ni sharti achukue pumziko.
Akothee anatarajiwa kupiga show yake ya mwisho usiku wa leo mjini Kisumu.
Taarifa na Dominick Mwambui.