
Mwanafunzi bora Malindi ana ndoto ya kuwa daktari
Mwanafunzi wa shule ya msingi ya Aiport mjini Malindi kaunti ya Kilifi ana kila sababu ya kutabasamu baada ya kuandikisha matokeo bora zaidi kwa kupata alama 427 na kuwa mwanafunzi bora kutoka kaunti ndogo ya Malindi kwenye matokeo hayo ya KCPE.