Wananchi wahimizwa kulinda mazingira
Mkurugenzi wa idara ya hali ya anga kaunti ya Kwale Dominic Mbindio, amewahimiza wananchi kuwa mabalozi wa utunzaji wa Mazingira, ili kukabiliana na mabadiliko tabia nchi.
Mkurugenzi wa idara ya hali ya anga kaunti ya Kwale Dominic Mbindio, amewahimiza wananchi kuwa mabalozi wa utunzaji wa Mazingira, ili kukabiliana na mabadiliko tabia nchi.
Mbunge wa Rabai William Kamoti ameahidi kukarabatiwa kwa barabara zote katika eneo bunge hilo.
Huku wizara ya Afya nchini ikiendeleza juhudi za kuhamasisha wakenya kuhusu athari za matumizi ya Shisha, imebainaka kuwa kuna baadhi ya sehemu nchini zingali zinaendeleza biashara hiyo haramu.
Shirika la kijamii la KECOSCE limebaini kuwa vikao vya hamasa kuhusu athari za mauaji ya wazee miongoni mwa vijana katika kaunti ya Kilifi vimefanikiwa kwa asilimia kubwa.
Bodi ya utalii nchini imeandaa kongamano la wadau katika sekta ya utalii kutoka kaunti sita za Pwani kujadili changamoto zinazosibu sekta hiyo pamoja na mikakati ya kuimarisha sekta ya utalii.
Mahakama ya mjini Kwale imepokea sanduku maalum kutoka kwa shirika la kukabiliana na dhulma dhidi ya watoto la Haki Yetu litakalotumiwa na watoto wanaodhulumiwa kutoa ushahidi.
Uhaba wa madarasa, Madawati na Vyoo ndio chanzo cha elimu duni katika baadhi ya shule za eneo bunge la Rabai kule kaunti ya Kilifi.
Baada yakufahamika kama Rais wa mziki wa kizazi kipya kwa muda mrefu sasa Msanii Jackson Makini amejiita mfalme.
Hali ya taharuki imezuka huko Malindi eneo la Casuarina baada ya moto mkali kuteketeza majumba mawili ya kibinafsi maarufu mapema leo.
Afisa wa kitengo cha dharura katika Shirika la utetezi wa haki za kibinadamu nchini MUHURI Francis Auma ametiwa nguvuni na kuzuiliwa kwa muda katika kituo cha polisi cha Makupa mapema hii leo.