HAKI AFRIKA KUTETEA WAKAAZI WA VIJIJI VYA CHIRA NA BILISA, TANA RIVER
Shirika la utetezi wa haki za kibinadamu la Haki Afrika limeapa kuwachukulia hatua za kisheria maafisa wa usalama wanaowahangaisha wakaazi wa vijiji vya Chira na Bilisa katika kaunti ya Tana river kufuatia oparesheni ya kiusalama inayoendelezwa na maafisa hao.