MIAKA 15 GEREZANI KWA KUMDHULUMU MWANAFUNZI
Mahakama ya Malindi imemhukumu kifungo cha miaka 10 gerezani mwanamume mmoja baada ya kumpata na hatia ya kushiriki ngono na mtoto mwenye umri wa miaka 15.
Mahakama ya Malindi imemhukumu kifungo cha miaka 10 gerezani mwanamume mmoja baada ya kumpata na hatia ya kushiriki ngono na mtoto mwenye umri wa miaka 15.
Chama cha wahudumu wa Tuk Tuk kaunti ya Mombasa kimekanusha madai kuwa wahudumu wa Tuk Tuk wanijihusisha na uhalifu.
Rubani mmoja wa kiume anauguza majeraha makali baada ya ndege yake iliyopaa kutoka uwanja wa ndege wa Malindi, kuanguka katika eneo la Furunzi, kaunti ya Kilifi.
Ruban mmoja mwanaume ambaye alikua amepaa angani akielekea ukunda kutoka uwanja wa ndege wa Malindi amepata majeraha mabaya baada ya ndege aliyokuwa amepaa nayo angani kuanguka katika eneo la Furunzi.
Hali ya huzuni imetanda katika uwanja wa michezo wa Alaskan mjini Malindi baada ya kijana mmoja mwenye umri wa miaka 23 aliyekuwa amejitokeza kwenye usajili wa makurutu kufariki wakati wa zoezi hilo.
Wanasema penzi ni kama nyasi likiota halifichiki na linaweza kuota popote pale. Kama nyasi zinavyoweza kuwa magugu penzi pia husalia kuwa historia wakati mwingine.
Mbunge wa Likoni Bi Mishi Mboko amehimiza ushirikiano wa wazazi na viongozi katika eneo hilo kukuza talanta na vipaji vya vijana ili kuwawezesha kujibunia ajira.
Wajumbe wa bunge la kaunti ya Kwale wanataka kushirikishwa katika miradi yote inayoidhinishwa katika kaunti hiyo.
Baadhi ya viongozi katika ukanda wa Pwani wameapa kujikakamua zaidi kisiasa ili kupigania nyadhifa za juu za uongozi nchini.