
Mmiliki wa gorofa iliyoanguka Malindi aachiliwa kwa dhamana
Mahakama huko Malindi imemuachilia kwa masharti aliyekuwa msimamizi wa ghorofa iliyoporomoka mjini Malindi ambaye pia ni mwanawe mmiliki wa jengo hilo aliyefariki wakati wa mkasa.
Mahakama huko Malindi imemuachilia kwa masharti aliyekuwa msimamizi wa ghorofa iliyoporomoka mjini Malindi ambaye pia ni mwanawe mmiliki wa jengo hilo aliyefariki wakati wa mkasa.
Mwanafunzi mmoja wa shule ya msingi ya Voroni katika gatuzi dogo la Matuga kaunti ya Kwale, anafanya mtihani wake wa darasa la nane KCPE katika chumba cha kujifungulia akina mama katika hospitali ya Kwale.
Maafisa wa kitengo cha upelelezi wa jinai eneo la Malindi wamemtia nguvuni mmiliki wa jumba la ghorofa nane lililoporomoka mjini humo siku chache zilizopita na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine 23 wakipata majeraha mabaya.
Wafungwa watatu katika gereza la wanaume la Kwale ni miongoni mwa watahiniwa watakao fanya mtihani wa kitaifa wa darasa la nane KCPE.
Msimu wa krisimasi unapobisha hodi tayari wanamziki mbalimbali wameachilia nyimbo zitakazoweka kasi ya kuingia katika shamara shamra hizo.
Afisaa Mkuu Mtendaji wa klabu ya Bandari, Edward Oduor ametoa onyo kali kwa wanaommezea mate mchezaji Hassan Abdalla.
Mali ya thamani ya mamilioni ya pesa imeharibiwa jioni ya leo baada ya moto mkubwa kuliteketeza bohari moja ya kuhifadhi bidhaa mbalimbali katika eneo la shimnazi Mjini Mombasa.
Shirika la kutetea haki za kibinadama la HURIA linataka mikakati ya kukabiliana na tatizo la visa vya ugaidi na itikadi potofu miongoni mwa vijana pwani kuendelezwa, licha ya visa hivi kupungua.
Mkurugenzi mkuu wa shirika linalopigania maswala ya amani na usalama Pwani Kenya Community Support Centre Bi. Phyllis Muema amesema kuwa dhulma na ukiukaji wa haki za kibinadamu Pwani utakomeshwa iwapo viongozi wa kidini watakemea tabia hii.