Idadi kubwa ya vijana haifahamu elimu ya uzazi
Utafiti uliofanywa na shirika la Moving the Goal Post (MTG) umebaini kuwa asilimia kubwa ya vijana waliofikisha umri wa kubalehe katika gatuzi dogo la Matuga kaunti ya Kwale hawana elimu ya kutosha kuhusu afya ya uzazi.