Mama Dangote amsifia Wema Sepetu

Mama Dangote – Picha Kwa Hisani. Bi. Sanura Kasimu almaarufu Mama Dangote ambaye ni mama mzazi wa supastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amemsifia aliyekuwa mpenzi wa zamani wa mwanawe, Wema Sepetu. Diamond na Wema Sepetu – Picha Kwa Hisani Ingawa kumekuwa na tetesi kwamba Diamond anatoka kimapenzi na mwanamuziki Zuchu huku uvumi huo ukiwavutia wengi na kutaka kujua kama ni kweli wasanii hao wanachumbiana. Diamond na Zuchu – Picha Kwa Hisani Mama Dangote ameonekana kuwa na mtanzamo tofauti na … Continue reading Mama Dangote amsifia Wema Sepetu